Deuteronomy 1:19

Wapelelezi Wanatumwa

(Hesabu 13:1-33)

19 aKisha, kama Bwana Mungu wetu alivyotuamuru, tuliondoka kutoka Horebu na kwenda kuelekea nchi ya vilima ya Waamori, kupitia jangwa lile kubwa lote la kutisha, lile mliloliona, nasi tukafika Kadesh-Barnea.
Copyright information for SwhNEN